![]() |
Tuzungumze kwa Kiswahili hapa Hamjambo wanafunzi! Napenda sana Kiswahili na ningetaka kuzungumza hapa na watu ambao wanajifunza lugha hiyo nzuri kushinda zote!Napenda sana methali na matini mbalimbali kuhusu historia ya nchi za Afrika ya Mashariki. Asante sana na Karibuni!!!! |
Часовой пояс GMT, время: 11:14. |
© www.otvetnemail.ru - Форум вопросов и ответов.